Inasikitisha sana kwa wanafunzi wenzetu wa shule za kata kufeli huku wanafunzi wa shule za kulipia kutoka kidedea kwa utafiti inaonyesha kuwa asilimia 90 ya wanafunzia waliosoma shule za kulipia wamefaulu huku asilimia 45 tu yawaliosoma shule za kata wamefaulu inasikitisha xana yani hvyo serekali inabidi ikae chini ifanye utafiti wajue tatizo ni nn
Hii hali c o nzuri ndo maana hata wabunge na mawaziri watoto wao wote wamesoma shule za kulipia tangu wameanza msingi hadi wanamaliza chuo kwa hyo ningeiomba serikali iionyeshee jicho kali katika sekta yaelimu kwa sababu inasikitisha sana na hii kitu inahamasisha msemo usemaho "ALIYEKUA NACHO ATAONGEZEWA ASIYEKUWA NACHO ATAZIDI KUWA MASKINI"
the best blog ever wth the best latest news and events taking place at any part of de world also u can learn alot of thngs about lui blogy just have a brief look on it hope you will enjoy it vause it has got awesome latest news and also unexpected also unpredictable updates that no one can be able to believe dat they are real although i hope u'll like it and you'll visit next time xo ur welcome view and stream anything you like no joining no credit card no nothng
Translate
Jumamosi, 4 Januari 2014
INASIKITISHA:MATOKEO YA FORM FOUR MWAKA HUU SHULE ZA PRIVATE ZAFAULU HUKU SHULE ZA KATA WAMEFELI KWA WINGI
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)